Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Maandamano ya Siku ya Taifa ya Kupambana na Ukoloni (Uistikbari) wa Ulimwengu - Tarehe 13 ya Aban 1404 Shamsiya / 04 Novemba 2025, yalianza asubuhi ya jana Jumanne, 13 Aban 1404 Shamsiya (04 Novemba), sambamba na kumbukumbu ya kifo cha Bibi Fatima Zahra (a.s). Maandamano hayo yalianzia Uwanja wa Palestina, Tehran, yakiendelea kuelekea ofisi ya kijasusi na eneo la sherehe zilizofanyika kwenye Mtaa wa Taleghani. Kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa: “Umoja na Uthabiti, Dhidi ya Ukoloni (Uistikbari)”.

5 Novemba 2025 - 12:38

Ripoti ya Picha | Maandamano ya Tarehe 13 ya Aban  (04 November) - Tehran

Your Comment

You are replying to: .
captcha